Home »
» Pistols Beatz intervew
Pistols Beatz intervew
Written By Unknown on mardi 15 novembre 2011 | 05:26
Kent-P : sasa pistols unaishi wapi?
Pistols Beats : Nimetulia jijini Nairobi
Kent-P : sasa pistols unafanya kazi gani huko nairobi?
Pistols Beats: Na do music productions, zaidi ya hivo, nina soma college
Kent-P: studio gani na umenza lini?
Pistols Beats: Nimeanza ku do music productions nikiwa bado mdo, ninkua niko do production kwene BedRoom Studio, but hpo mbeleni nikakutana na mshakaji wangu kingpheezle, nika mskilizisha kazi zangu na akazikubale, atanipa na fasi yaku work kwene studio inayo julikana kama ZUKA RECORD.
Kent-P : sasa kwa ivi studio ina itwa jina gani na iko sehemu gani?
Pistols Beats: Studio yajulikana kama "zuka records" after mimi kujiiunga na kingpheezle tukaipa «PURPLE HUSTLE"
Kent-P: sasa nasikiya afisa raj b from burundi yuko kwenye studio yenu , vipi mumemcheki vipi?
Pistols Beats: Kwakweli Afisa Raj B nimsanii naye mpa Respect. nimekubale Flow zake, haswa kwene style ya hiphop.
Kent-P : je? mmekwisha hanza kazi pamoja naye, una ona kama anaweza?
Pistols Beats: Yea yea, kuna ngoma nime produce yaitwa "somebody" by Kingpheezle. ame piga collabo remix na Afisa Raj B. na sasa nime m intro afisa kwene style ya crunk na bado, namtengenezea album, kwasasa beat mbili ziko ready na yuko anafanya mazoezi then ata zi record hapo soon.
Kent-P : dream gani hunayo kuhusu mziki wa bujumbura, una ona kweli tukizidi ku tumika tuna weza kuvuka boda?
Pistols Beats: Dream yangu nikuuinuua style inoyo julikana kama "crunk" jijiini bujumbura, nanaamini my dream shall come true. na mziki wetu utavuka boda kama kawa, ila ma producer waburundi waache kubagua. tuwenaumoja natutasonga mbele.
Kent-P : una weza kuwa shauri ma producer wa hapa kwetu nini?
Pistols Beats: Wawe naumoja, sio watengenezea ma superstar ngoma fiti, na wa underground wakawa puuzia. na wa respect any artist. kwasababu u never know who comin up next.
Kent-P : na mashabiki una wa ambiya nini?
Pistols Beats: Shukrani sana kwamashabik, bila wawo tusingekua hapa tulipo leo. Thanks again...
Kent-P: nashukuru sana pistols beats, pistols beats unataka maanisha nini your name
Pistols Beats: Hehe... mkiskiza beatz zangu mtajuua maana yake vizuri. Asantene sana.
Kent-P: nashukuru sa na nakupongezi kubwa sana endeleya kufanyia promotion wasani.
Buja News ina kushukuru sana.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !