MC SMART
Amezaliwa Bujumbura (Burundi), tariki 10/04/1986, Baba
na Mama wote warundi, wametokea mu provensi ya Bururi.
Ameanza
saana na miaka mi sita(6) Amekuwa na dance, Alipo fikisha miaka 13 Akawa na
cheza mpira baada ya kumaliza School mwaka 2007-2008.
-2009 Akakutana
na group ya wa igizaji wa filam wajulikanao kwa jina la « BUJA ARTS
FILM »
Ambapo ndipo
Alipo anza saana ya uwigizaji wa filamu.
Filamu yake
ya kwanza ijulikanao kwa jina la « Kisa demu »
Anajulikana kwa jina la Mc a.k.a Mr Smart.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !