Habari zilizotufikia ni kwamba msanii Albert Mangwair amefariki dunia akiwa Afrika kusini Chanzo cha kifo hicho bado hakijafahamika, lakini taarifa za awali zinadai kuwa msanii huyo hakuamka tangu alipolala .
Mtandao huu unaendelea kuifuatilia habari hii R.I.P Ngwair...
msani huyo kafariki leo majira ya saa 18h15
Kora Entertainment News
R.I.P NGWAIR FROM TANZANIA - Kora Entertainment News
Written By Unknown on mardi 28 mai 2013 | 12:18
Labels:
Hot News
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !