Headlines News :
Home » » Emery Sun : "2013 Album Yangu Ya 2 Itakuwa Tayari..."

Emery Sun : "2013 Album Yangu Ya 2 Itakuwa Tayari..."

Written By Unknown on samedi 26 janvier 2013 | 02:14


Msanii wakiume NIVYINDAVYI Emery a.k.a Emery Sun ametufahamisha ya kuwa hakai, anatumika vyakutosha ili siku moja aone ndoto yake imekamilika.
Tulipo muhoji kulingana na ukimia wake kwenye game la mziki alitwambia:
"Ni nana nyimbo yangu mupia ni mefanya na Liser Classic, inaitwa 'ikidodo'
ivi niko (studio) jikoni  tena  nafanya zingine kazi,
na nimeamuwa kwanza kuachana na tamasha flani flani  (show) labda ikiwa inanifaa yani ikiwa inalipa vyakuosha, ili baada inilipe kwaju nifanyi kazi.
Sitaki mtu wakuniweka kwenye bango (affiche) mpaka mi niseme kama nimerejea kwenye fani ya mziki,
Hivi karibuni nina mpango wakuzitowa clip videos nyingi na nyimbo za audios ili niakikishe mwaka 2013 nimesimama na album yangu ya 2."
Kora EntertainmEnt iko Kwa ajili yenu, Sikiliza "Ikido" Music  apo Chini (play).


News Hiyi Imetoka kwe web Ya Kora Entertainment
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Support : Kent-P | Kora Entertainment | K Awards
Copyright © 2013. Buja News - All Rights Reserved
Created by Kent-P Published by Kora Entertainment
Sponsored by Iwacu Vision Company