Sat-B : Sasa Msani Wa East-Africa...
Written By Unknown on samedi 26 janvier 2013 | 08:11
Msani macacari wa Burundi sasa Up Level , 2013 anakuja nakasi nyingi sana za kujitangaza kwenye Africa Mashariki nae si mwengini ni Sat-B aka Satelite ya Burundi , amezungumuziya Team yetu ya Kora Entertainment kazi zake gisi zinaenda yafawatayo : « Na Kwamba Tayari Nyimbo ya mimi na Cindy Ninayo Mkononi, na tayari nimeingia kwenye Kundi la Washington ambayo inakuja kwa jina la « Wise Man » Ndani yake kuna Kitoko, Urbun Boys, Rider Man, Washington na Bolo, pamoja na mimi, Tumeanza kutumika nyimbo ya hiyo Group Itakayo kuja kwa jina la « Tanganyika Girl » just nikimsubiri Kitoko atoke Ubelgigi (Belgique) kisha tufanye naye nyimbo,na ivi kwa sasa nina Appointment na Weasel & Radio (Good Life) Ili Tufanye Nao Kazi Ambayo itakayo kuja kumalizia Safari yangu nchini Uganda . » Team ya Kora Entertainment inamutakiya mafanikiyo mema.
Labels:
Hot News
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !