Headlines News :
Home » » Game Imekuwa Ngumu - Kora Entertainment

Game Imekuwa Ngumu - Kora Entertainment

Written By Unknown on mercredi 27 février 2013 | 00:07

T-Max watu wana mzushia kama amekimbia game.
je ni kweli? hebu soma jibu ambao amewajibia ma fans wake.

T-Max : "Nimepata msg ya watu wengi wanasema kwamba "nimekimbia game" jameni kama Buja sionekani nimeamua kubadili life style yangu. mambo yakuuza sura mitaani sitaki tena. na ku record kila week ama kulalamika kwenye ma radio sio njo inasababisha msani apendwe. kama wuko na ma fans watakupenda tu ata kama hawakusikii kwenye vipindi. je nitakimbia game ya Buja alafu niweze game ya Bongo?? coz wanasema kwamba nimekimbilia Bongo. jameni game ya Buja na ya Bongo yipi ngumu???? Game ya Buja ikinishinda nitaweza ya Bongo??? mbona mimi siwezi kuishi bila kuimba. music naupenda na naishi sababu ya muziki. kama niko aa Dar for 2 weeks niko apa kikazi. ma fans wangu na wa promiss kwamba very soon mtapata video yangu mpia ambao nime Shoot Belgium ".
Masage Hii Imetoka Kwenye Tovuti ya Kora Entertainment
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Support : Kent-P | Kora Entertainment | K Awards
Copyright © 2013. Buja News - All Rights Reserved
Created by Kent-P Published by Kora Entertainment
Sponsored by Iwacu Vision Company