Sat-B Ametaka Kuwajulisha ma fans wake ya kwamba,
ameakuja na zawadi ya nyimbo mpya Ambae ameimba peke yake, baada ya kuwapa kionjo cha Tanganyika Girl wakishirikiana na Washington pamoja na J.I From Uganda.
Sat-B :
Hello My Fans track yangu mpya "rspct" imekamilika nakuja kuwapa nakuonyesha nini nilikuwa nikifanya huku uganda nakuja Buja Jumapili ao Jumamosi mungu akipenda, na wasii kuwa ma fans wangu...
wataingizwa rasmi kwa crew...
yenye mziki wa ukweli na haki...
ma fans wangu Wote sapoti zenu ndo zitakayo kubalisha Est-Africa nzima kwamba kuna wasani fulani Burundi . jumla Burundi tunaweza..
via Kora Entertainment www.koraent.blogspot.com
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !