Msanii wa kiume SALEH GIHOZO a.k.a Sal-G anae ondoka na miondoko ya RNB nchini Burundi ameifahamisha Kora Entertainment kuwa mwaka 2013 anatarajia kufanya mambo makubwa tena yenye ujuzi wa hali ya juu.
Ametufahamisha :" Hivi karibuni natarajia kufanya nyimbo itakao simama na jina 'Niwihebure' akipenda mungu itatoka na video yake mwezi wa 2 (february),
Pini hio inatengenezewa KISU Record na Producer A-Tzo & Sulex Touch,
na video itatengenezwa na Andyllaire (Technology Films) na baada ya hio nataraji kufanya colabo na mpenzi wangu MISS ERICA,
nyimbo hio itaitwa 'Mbegiy love'..."
Video iliyo Mfanya Sal-G Hawe Maharufu
SAL G:" Mwaka 2013 natarajia kusonga mbele zaidi."
Written By Unknown on vendredi 1 février 2013 | 04:07
Labels:
Hot News
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !